Waandishi wa habarI mkoani Lindi  wamepewa mafunzo ya kuripoti ugonjwa wa corona na timu ya maafisa mkoa huo huku wakitakiwa kutoa elimu sahihi kwa wananchi za kujikinga na kujiepusha kuambukizwa virusi  hivyo vya covid19.
 Mafunzo hayo  ya siku  moja yalifadhiliwa na umoja  wa klabu za waandishi wa habari nchini UTPC ,